WELCOME TO THE REPUTABLE BLOG IN TOWN WITH FANTASTIC NEWS,GOSSIP,TALENTS,FASHION,MOVIE STAY ON THIS WEBSITE
RSS

WAKAZI WA MJI WA NJE KIDOGO WA MJI WA DERHI NCHINI INDIA WAKISHANGAA NYOKA ADIMU KUONEKANA DUNIANI AINA YA COBRA SIX HEAD

Wakazi wa mji nje kidogo wakishangaa nyoka aina ya cobra ambaye nia adimu sana kupatikana duniani Djdaffa alipata kuongea na rafiki ambaye ni mdau mkubwa wa blog hii KAMAJIT SIGHN na aliambia  kuwa huyo ni nyoka ambayea alionekana katika katika barabara ya kuelekea mjini derhi hivyo baadhi ya wakazi waliokaribu na pori hilo waliwahi kuenda kupata kumbu kumbu kwa ajiri ya baadaye katika vizazi vijavyo.

  • Digg
  • Del.icio.us
  • StumbleUpon
  • Reddit
  • RSS

0 maoni: