WELCOME TO THE REPUTABLE BLOG IN TOWN WITH FANTASTIC NEWS,GOSSIP,TALENTS,FASHION,MOVIE STAY ON THIS WEBSITE
RSS

WATANZANIA WAMPONGEZA MASANJA KWA UAMUZI ALIOUCHUKUWAWATANZANIA WAMPA HONGERA KWA UAMUZI ALIOUCHUKUWA MASANJA
Masanja hongera sana kwa uliyoyafanya kuhakikisha msanii wa filamu Sajuki anapata fedha zilizohitajika katika kufanianikisha safari yake ya kwenda kutibiwa nchini india blog hii katika matembezi yake ya hapa na pale jijini Dar es Salaam ilipata nafasi ya kuongea na wakazi wa magomeni jijini Dar es Salaam juu ya uamuzi wako uliouchukuwa wa kutembea hapa na pale kuchangisha michango kwa ajiri ya kufanikisha matibabu hayo 

  • Digg
  • Del.icio.us
  • StumbleUpon
  • Reddit
  • RSS

0 maoni: