WELCOME TO THE REPUTABLE BLOG IN TOWN WITH FANTASTIC NEWS,GOSSIP,TALENTS,FASHION,MOVIE STAY ON THIS WEBSITE
RSS

Close Talent

KENAN KASEA
Mzaliwa wa Morogoro mjini miaka kadhaa iliyopita amekuwa na kipaji cha pekee kwa kipindi kirefu tangia yupo katika shule ya msingi morogoro huko.Baada ya kugundua kipaji chake mnamo alipofika kidato cha tatu 2009
alianikiwa kukionessha kipaji chake pale tu alipopata nafasi ya kuonesha fashion Show ya kwanza katika maafari yake ya kidato cha nne mwaka 2010
hivyo kila mmoja alifahamu kipaji alichokuwa nacho kwani alisimamia na kuratibu shuhuli nzima ya Modoling pale alipokuwa anahitimu kidato cha nne
Haikuishia hapo safari yake kwani alijiunga na chuo cha usimamizi wa biashara hapa Dar es Salaam 
nafasi kubwa aliipata katika chuo hicho Mliman School of Professional studies kutokana na uongozi wa chuo kutambua kipaji alichokuwa nacho pia alipata nafasi nyingine ambayo ulikuwa mwangaza kwake
kuratibu shughuli nzima za modoling na Uanamitingo katika chuo hicho
nafasi hiyo aliitumia vizuri kiasi kwamba kila mmoja alitamani kuwa kama yeye na alikubali changamoto nyingi kwani alikuwa mwongozo kwa kila aliyetamani uanamitindo
Shindano kubwa la kwanza lilikuwa mnamo mwaka 2011 la kumtafuta Mr College katika chuo alichookuwa akisoma pambano lilkuwa na ugumu wake lakini alifanikiwa kuwa mshindi wa pambano lile
Alishikilia kiti hicho kwa Mwaka mzima 
Mwaka uliofuata 2012 alifanikiwa kuchukuwa ubingwa wa Mr Inter College lilohusisha vyuo Mbali mbali Jijini Dar es Salaam, Dar es Salaam College(DASICO) Royal College na vingine mbali mbali
Tamasha lilikuwa kubwa sana hivyo alijiamini na kuamini anaweza na ndiyo sababu iliomfanya apate ushindi 
alijiamini na kile alichonacho kuwa anaweza
Safari haikuwa Rahisi kwani nilishiriki tena katika Kinyang'anyiro cha kumsaka Mr&Miss Planet
mwaka 2012 Shindano lilikuwa gumu sana, Na bahati haikuwa yangu nilitoka katika Nusu fainali
Fainali za Pambano hilo zilifanyika Mbezi Garden Hotel
Mwaka 2013 nilikuwa nikifanya show na Disigner  Na Joctam  wa Makeke Afrika
Safari yangu bado ni Ndefu nahitaji Sapport ya watanzania ili niweze kufika mbali na kuhakikisha  nina itangaza Tanzania Kimataifa 
Nina ndoto za kufanya kazi na makampuni makubwa kwa matangazo na wanamitindo mbali mbali pamoja na Video Model 07529709390659 780 400,0764 57 25 88,0687 32 09 45
Kenan Kasea akiwa katika vazi la Asili
 Akiwa katika presentation ya Red Capet
Miondoko ya Kiofisini on the Red Capet
Hot After Hot


  • Digg
  • Del.icio.us
  • StumbleUpon
  • Reddit
  • RSS