Wafugaji nchini watakiwa kuwa makini na ufugaji wa kisasa kuepukana na magonjwa yanayoweza kuwakumba mifugo yao hayo yamesemwa na Dk wa mifugo wa kitongoji cha mkuzi wilayani muheza jijini Tanga alipokuwa akitembelea majengo ya wafuhgaji jijini humo Ndugu Sabastine Vestine ambapo wafugaji hao wamelalamika kuwa wamekuwa wakipoteza wanyama wengi kwa kukosa elimu ya ufugaji |
WAFUGAJI WATAKIWA KUWA MAKINI NA MAGONJWA YAMIFUGO
Posted by
RAMADHANI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 maoni:
Post a Comment