Hii inatokana na jinsi anavyojituma kwenye kazi zake za sanaa na kuwa
karibu na mashabiki wake jambo linalofanya azidi kupendwa kila kukicha Wakipiga stori baadhi ya mashabiki wake wanasema Wastara ni msanii anaeipenda kazi yake na sio mbaguzi wala hana majivuno yani ni mtu wawaatu “Unajua wastara ni tofauti na wasanii wengine yani pamoja nakua kwenye game kwa miaka mingi bado ashuki samani kila msanii anatamani kufanya nae kazi“ |
WASTARA JUMA NDIO MCHEZA FILAMU WA KIKE BONGO MWENYE USHAWISHI KAMA KIONGOZI
Posted by
RAMADHANI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 maoni:
Post a Comment