Mzee Majuto akiwa ameshikwa mkono wakielekea mazishini kuupumzisha mwili wa marehemu Sharo milionea mazishi yalifanyika nyum,bani kwao Mkoani Tanga katika kijiji cha Lusanga wilayani Muheza mazushi hayo yalihudhuriwa na watu wa aina tofauti tofauti kulingana na wanavyomfahamu sharo milionea kwa kazi zake alizokuwa akifanya kipindi cha uhai wake na kunawasainii wengi walioguswa na msiba huo pia walihusika katika mazioshi munguailaze roho ya marehemu mahala pema peponi |
0 maoni:
Post a Comment