Mpaka sasa inasemekana kuna baadhi ya mali za Marehemu Sharo milionea zimepatikana na zipo kituo cha polisi mali hizo ni simu lakini bado pesa zilizopotea wakati wa ajali ya msanii Huyo iliosabababisha kifo chake papo hapo katika maeneo ya maguzoni wailayani muheaza Mkoanai tanga lakini bado jeshi la polisi linaendelea na upelelezi juu ya upatikanaji wa fedha hizo mali ambazo zinasemekana zimepatikana ni pamoja na simu za marehemu pamoja na Radio ya gari pongezi za dhati zinhitajika kaitika kupewa jeshi la polisi kwa jitihada zao na endapo tunaomaba endapo watapatika na Sheria ichukuwe mkondo wake kwani hwana hata huruma watu hao tena wakamatwe |
0 maoni:
Post a Comment