WELCOME TO THE REPUTABLE BLOG IN TOWN WITH FANTASTIC NEWS,GOSSIP,TALENTS,FASHION,MOVIE STAY ON THIS WEBSITE
RSS

JAHAZI LAZAMA ZANZIBAR

jAHAZI LIMEZAMA: Kuna taarifa zilizothibitishwa na mamlaka husika kwamba jahazi moja liitwalo Mv. Salwa lililokuwa likitokea Tanga kuelekea Pemba lililokuwa limebeba abiria wanane na mizigo limezama leo mchana katika baharini maeneo ya Pangani baada ya kupigwa na dhuruba kali ya upepo ulioanza tokea jana usiku. Taarifa zinasema kwamba walishauriwa wasisafiri lakini walikaidi ushauri. Hata hivyo bado tunaendelea kutafuta hizo taarifa zaidi za hao abiria waliozama iwapo salama au vipi ndio tunazifuatilia inshaallah. habari na Salma saidi

  • Digg
  • Del.icio.us
  • StumbleUpon
  • Reddit
  • RSS

0 maoni: