WELCOME TO THE REPUTABLE BLOG IN TOWN WITH FANTASTIC NEWS,GOSSIP,TALENTS,FASHION,MOVIE STAY ON THIS WEBSITE
RSS

WEZI WAKAMATWA CHUONI MLIMANI SCHOOL OF PROFESSIONAL STUDIES

Baada ya uchunguzi uliodumu kwa siku mbili mfululizo juu ya wizi wa mitihana katika chuo cha Biashara cha milimani school of  Professional studies ambao uliosababisha mitihani kusimama kutokana  na Tetesi za kuliki kwa mtihani huo kufika kwa mkuu wa chuo Bwan Hassan Ngoma mtihani huo ulikuwa ni wa mwisho wa semester ya kwanza kwa Intake ya Kwanza na inTake ya nne ulikuwa ni mwisho wa kozi zao ngazi ya Certificate  mtihani huo unatarajiwa kuanza Rasmi tarehe 20 May 2012,kutokana na upelelezi huo kukamilika Bwana Hassan Ngoma amefanikiwa kubaini waliolikisha mtihani huo chuoni hapo hivyo wanafunzi wa Intake ya nne wasichana wanne na mvulana mmoja wanaofahamika kwa majina ya BERINA, AMINA WASGTONN, QUEEN JUMA, HAWA, pamoja na EMMANUELI NDELWA wamefukuzwa chuoni hapo Rasmi Iumaa ya leo kutokana na ubadhirifu waliokutwa nao wanafunzi hao.
Kutokana na maelezo yaliyoifikia blog hii ni kwamba wizi huo umekuwa ukifanyika kwa muda mrefu basi wahenga husema za mwizi ni harobaini Naye Bwana  Hassan Ngoma  ameimbia blog hii hakupenda chuo kiendelee kudharirika kwa kutoa wasomi wasio na taaluma zilizo na wizi ndani yake nakuingia kwenye ajira kwa kutaja jina la chuo pamoja na kukidharirisha chuo kwwa taaluma hiyo ya uongo walio nayo mungu ibariki mlimani school pamoja na wanafunzi wake wapate Taaluma zitazo saidia kupata ajira ndani na nje ya nchi na  RAMADHANI DAFFA

  • Digg
  • Del.icio.us
  • StumbleUpon
  • Reddit
  • RSS

0 maoni: