WELCOME TO THE REPUTABLE BLOG IN TOWN WITH FANTASTIC NEWS,GOSSIP,TALENTS,FASHION,MOVIE STAY ON THIS WEBSITE
RSS

DAIMOND UMEITEKA TZ

DIAMOND AWE MFANO WA KUIGWA KUWEZA KUWASEIDIA WATOTO YATIMA DAR 

Msanii ambaye ni mtumbuizaji bora aliyenyakua Tuzo ya KTMA kwa mwaka 2012,Diamond ambaye hivi majuzi pia alikonga nyoyo za mashabiki wake licha ya kuwa na mvua kubwa pale kwenye kisiwa cha burudani cha Darlive huku akiwaacha watu wakishangaa kwa staili yake ya mavazi aliyoingia nayo ukumbini hapo akiwa amevalia kama mwanajeshi wa Navy aliweka wazi kilichompa nguvu yeye ya kuweza kuajiri vijana wenzake
. Mwenyewe alisema
kuwa Maandalizi na Ushirikiano ndio uliomfanya yeye kuweza kuwaajiri watu, kwani hapendi kufanya vitu mwenyewe na ndio maana hata kwenye kazi yake ya muziki ambao ndio umemwezesha kuwaajiri vijana pia huwa anawashirikisha wenzake hasa wale wacheza show wake ambao wanampa sapoti kubwa kwa yeye kuweza kungonga nyoyo za mashabiki hivyo anauheshimu muziki na pia anatoa shukrani zake kwa mashabiki wake waliomfikisha hapo. Licha ya kuwaajiri vijana kwenye muziki Diamond pia ana Maduka yake ya nguo jijini Dar es salaam yanayofahamika kama Wasafi classic.

  • Digg
  • Del.icio.us
  • StumbleUpon
  • Reddit
  • RSS

0 maoni: