WELCOME TO THE REPUTABLE BLOG IN TOWN WITH FANTASTIC NEWS,GOSSIP,TALENTS,FASHION,MOVIE STAY ON THIS WEBSITE
RSS

Saadi Gaddafi aitisha Libya

Libya imelalamika kwa Niger, juu ya matamshi ya mtoto wa kiume wa Muammar Gaddafi ambaye sasa anaishi uhamishoni nchini Niger.
Saadi Gaddafi
Akihojiwa na televisheni moja ya Kiarabu, Saadi Gaddafi alitishia kuongoza vita dhidi ya serikali ya Libya.
Alisema mapigano kadha yatazuka punde nchini Libya, na kwamba karibu kila siku anawasiliana na makundi ndani ya nchi.
Bwana Gaddafi, ambaye alikimbilia Niger baada ya serikali ya baba yake kupinduliwa Agosti mwaka jana, alisema anataraji kurudi Libya punde.

  • Digg
  • Del.icio.us
  • StumbleUpon
  • Reddit
  • RSS

0 maoni: