24 Disemba, 2011 - Saa 14:42 GMT
Kwa mara ya kwanza katika miongo mine, Libya inasherehekea siku iliyopata uhuru kutoka kwa Utaliana miaka 60 iliyopita.
Katika sherehe za leo kunafanywa mhadhara kutoka medani ya mashujaa, kati ya mji mkuu, Tripoli, hadi kasri ya zamani ya mfalme
0 maoni:
Post a Comment