Watanzania tunatakiwa kuwa makini na uchunguzi wa vyombo vyetu kabla havijaanza safari, Tumechoka kupoteza maelfu ya ndugu zetu, Hayo yametokea mjini Zanzibar huku watu wakiangalia sauti za busara na huku nje boti ya abiria inawaka moto jamania Tanzania inaelekea wapi (Picha na Salma Said) |
BOTI LAWEAKA MOTO ZANZIBAR
Posted by
RAMADHANI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 maoni:
Post a Comment