WELCOME TO THE REPUTABLE BLOG IN TOWN WITH FANTASTIC NEWS,GOSSIP,TALENTS,FASHION,MOVIE STAY ON THIS WEBSITE
RSS

HAWA NI BAADHI YA WAASIRIKA WA MAFURIKO MAENEO YA JANGWANI JIJINI DAR ES SALAAM.

Wakazi wa Jangwani Dar es Salaam walioathiriwa na mafuriko wakisafisha vyombo vyao kwa kutumia maji yasiyo salama pembezoni mwa makazi yao baada ya kurejea na kuendelea na
maisha yao kama kawaida jana. (Picha na Fadhili Akida).
Tunafua nguo  na  kuosha  vyombo. ila maji  haya  si  salama  kwa matumizi ya binadamu.
Wakazi wa jangwani jijini Dar es Salaam walioathiliwa na mafuriko
wakisafisha vyombo vyao kwa kutumia maji yasiyo salama pembezoni mwa makazi yao baada ya kurejea katika makazi yao na kuendelea na maisha kama kawaida jana ( Picha na Ramadhani Daffa) Dar es Salaam 

  • Digg
  • Del.icio.us
  • StumbleUpon
  • Reddit
  • RSS

0 maoni: