WELCOME TO THE REPUTABLE BLOG IN TOWN WITH FANTASTIC NEWS,GOSSIP,TALENTS,FASHION,MOVIE STAY ON THIS WEBSITE
RSS

MALI ASILI ZILIZOPO TANZANIA NI ADIMU KUPATIKANA SEHEMU NYINGINE.

Mbega wekundu wa Udzungwa ni adimu kupatikana sehemu nyingine duniani isipokuwa Bonde la Kilombero mkoani Morogoro ambako walinaswa na kamera yetu wiki hii. (Na John Nditi).   Mbega wekundu ni Adimu kupatikana sehemu nyingine yoyote duniani isipokuwa bonde la Kilombelo mkoani Morogoro nchini Tanzania Twajivunia sana ( picha na Ramadhani Daffa)

  • Digg
  • Del.icio.us
  • StumbleUpon
  • Reddit
  • RSS

0 maoni: