Staa wa sinema za Kibongo, Jacqueline
Wolper amechomoa madai yaliyoibuka kuwa hawajali wazazi wake.Baada ya
taarifa hizo za chinichini kuzagaa, Wolper aliibuka na kuzikanusha:
“Wazazi wangu ni matajiri kwa pesa gani
nyingi nilizonazo za uwafikia wao kiasi cha kuwapa matunzo, bado
nawategemea hivyo wanaodai nimetelekeza wazazi ni waongo tu.” |
0 maoni:
Post a Comment