AMINI usiamini lakini ndivyo ilivyo! Utajiri wa Mtangazaji wa Radio
Times FM ya jijini Dar, Khadija Shaibu ‘Dida’ umeibua gumzo midomoni mwa
watu wakidai kuna walakini juu ya upatikanaji wake
Toyota verossa ikiwa imepaki katika gholofa analodaiwa kumiliki Dida
Magari aina ya Toyota Verossa yakiwa yamepaki katika sehemu maalumu ambayo anamiliki Dida MAGARI MATANO YA KUTEMBELEA
Chanzo
chetu kikazidi kwenda mbele kwa kudai kuwa mbali na umiliki wa nyumba,
pia mwanadada huyo ana magari matano kwa ajili ya kutembelea tu. “Mbali na nyumba hizo, Dida pia ana magari matano ambayo hubadili anavyotaka kwa ajili ya kutembelea tu kwenye mizunguko yake.
“Ana Toyota Verossa mbili, ana Toyota Noah rangi ya silva na nyeusi. Ana
Toyota Vitz. Hivi karibuni ameanza mchakato wa kuingiza nchini gari
lingine la sita aina ya Range Rover ‘Vogue’. Hebu fikirieni, Dida
huyuhuyu mnayemjua, amepata wapi mali hizo?” kilihoji chanzo.
Maduka matatu yanguo anayo miliki Dida yaliyo katika viiwango vya juu ambayo yapo Dar es salaam Na katika Mabango ya maduka hayo yanasomeka Dida Classic ambayo yapo kinondon ya nguo za kike
MISUKO SUKO YA NYUMA ALIOWAHI KUPATA DIDA
kabla ya kudaiwa kuwa na utajiri huo,Dida alikumbana na misukosuko ya madeni Benki moja jijini ilidaiwa kufilisi Thamani za nyumbani kwake kinondoni jijini Dar es salaam baada ya kuushindwa kulipa mkopo
DIDA AUNGELEA UTAJIRI WAKE
watu wamekuwa wakiongelea sana kuwa nauza unga kitu ambacho si kweli na hakina ukweli wowote ndani yake kwanza hata siujui huo unga na fananaje ukweli ni kwamba mimi najituma katika kazi na kufanya biiashara aligusia kuwa hatosahau siku ambayo watu wamekwwenda kutoa taarifa uwanja wa ndege JK nyerere Airport kuwa siku hiyo alikuwa anasairi na mzigo wa madawa ya kulevya
Alipoika Airport Dar es Salaam aliwekwa chini ya ulinzi na kupekuliwa kila alichokuwa amebeba haikutosha alipelekwa katika Hospital ya Temeke Dar na kuufanyiwa X-ray na hawakuona kitu nilirejea Airport na kuendelea na safari
mimi nawacha waongee tu kwani hawajui ninachokifanya kwani mimi najitambua na kile ninachokifanya pia
Toyota Vitz kama ya Dida
kuhusu toyota vitz amesema anampango wa kuingiza nchini na mda si mrefu atakuwa amekamilisha kwani hafuatilii maneno yanayosemwa kwamba wote waliopeleka tarifa airport hawana lolote ila ni wivu tu
|
0 maoni:
Post a Comment