moja ya maeneo jangwani |
Mafuriko dar na kusababisha watu kukosa makazi maeneo ya Jangwani hadi maeneo ya kigogo Dar es Salaam |
Walimu wa msingi waligoma kwa kudai huenda ni haki yao kudai kwa kudai vitu kuwa juu na kusababisha ndugu zetu watoto wetu kukosa masomo kwa siku husika |
Mgomo mkubwa ulioleta athari nyingi kwa wagonjwa na kufanya matibabu kusimama kwa tuhuma juu ya mishahala na posho za madaktari muhimbili wagonjwa walipata tabu sana kulingana na mgomo huo |
vifo vingi vilivyotokea mwaka 2012 zanzibar kwa kuzamakwa meli na kusababisha watu wengi kupoteza maisha |
Hatutasahau vurugu zilizotokea Zanzibar zilizosababishwa na kundi la muamsho na kusababisha mali za watu kupotea na wengine kupoteza maisha Mungu atulinde atupe amani Mwaka 2013 |
0 maoni:
Post a Comment