Mwanamke mwenye miaka 20 Millicent Owuor jana amejifungua watoto mapacha na kuwapa majina Barack Obama na Mitt Romney. Watoto hao walizaliwa katika hospitali ya Siaya kusini magharibi mwa Kenya. Owuor aliwaambia waandishi wa habari kuwa aliamua kuwapa majina hayo wanae ili kuikumbuka siku ya uchaguzi huo wa Marekani. |
Mwanamke azaa mapacha na kuwaita Barack Obama na Mitt Romney
Posted by
RAMADHANI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 maoni:
Post a Comment