Rais wa Somalia, Sheikh Sharif Sheikh Ahmed, ametoka
kwenye mazungumzo yanayofanywa mjini Nairobi, Kenya, yaliyolenga
kutekeleza katiba ya Somalia iliyokubaliwa hivi karibuni.
Wanasiasa waandamizi wa Somalia wanaendelea kuzungumza juu ya namna ya kumchagua rais mpya na spika. Mazungumzo yanatarajiwa kumalizika ufikapo mwisho wa mwezi huu |
Rais wa Somalia atoka kwenye mazungumzo
Posted by
RAMADHANI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 maoni:
Post a Comment