Tunashukuru sana uongozi wa Chuo cha Mlimani school of Professional studies kwa Mafunzo na malezi mema ya kipindi cha masomo kwa muda wote wa mwaka mmoja pia tunapenda kuchukuwa fulsa hii kwa niaba ya Intake Five journalism,and mass comm kuwashukuru Mr Hassan Ngoma, Emmanuel David, Madam Stella Kalinga ,Mr Kelvin Milinga kwa ushirikiano wao waliotupa kwa kipindi chote tunasema asanteni sana, Tunao,ba mtuombee katika mitihani inayoanza Jumatatu ya Tarehe 27/08/2012 |
KWAHELI INTAKE FIVE 2011 MLIMANI SCHOOL OF PROFESSIONAL STUDIES
Posted by
RAMADHANI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 maoni:
Post a Comment