Mwanamuziki wa siku nyingi kwenye game
hiyo ya bongo flava,Luteni Kalama kuna madai anatafutwa na na mume wa
Miss Ruvuma ambae amezaa nae mtoto mmoja ili amuue kwa risasi.
Habari za uhakika toka kwa mtu wa
karibuni na mwanamuziki huyo zilisema kuwa Luteni Kalama amekuwa na
kwenye mahusiano ya kimapenzi na Miss huyo wakati ni mchumba wa mtu
ambae ni kigogo mmoja anaefanya kazi Wizara ya Ujenzi aliyefahamika kwa
jina moja la Nzenzely.
Aidha alipotafutwa mrembo huyo ili nae
kuzungumzia alisema alikuwa na ya kusema"Hizo habari za kutafutana kwa
bunduki mi hazini husu ukaribu wangu na Kalama ni wa kisanii na si
vinginevyo" Alijibu kwa ufupi Miss huyo
|
LUTENI KALAMA ASAKWA AULIWE NA KIGOGO WA SERIKALI!
Posted by
RAMADHANI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)







0 maoni:
Post a Comment