WELCOME TO THE REPUTABLE BLOG IN TOWN WITH FANTASTIC NEWS,GOSSIP,TALENTS,FASHION,MOVIE STAY ON THIS WEBSITE
RSS

Maharamia washambulia meli za mafuta


Watu wenye silaha wameshambulia meli mbili nje ya eneo la mafuta la Nigeria, eneo la mdomo wa Mto Niger.

Walinzi wawili waliuwawa na wawili kujeruhiwa.
Washambuliaji hao, ambao hawakujulikana, piya waliwateka nyara mabaharia wane.
Jeshi la wanamaji la Nigeria nalo linashiriki kuwasaka washambuliaji hao.
Shambulio hilo limetokea siku tu baada ya serikali ya Nigeria kutangaza kuwa itatumia satalaiti kuzuwia magendo ya mafuta katika eneo hilo, ambayo huuzwa kwenye soko la kimataifa

  • Digg
  • Del.icio.us
  • StumbleUpon
  • Reddit
  • RSS

0 maoni: