wanapokuwa hospitalini hipata tabu mno lakini tuwaheshimu |
Daima mama ni mama lakini amini usiamini siri nzito na ujasiri wa kutosha anao mama kiukeli akiwa na ujasili wa kukulea mpaka kufanikisha ndoto zako utajihisi mwenye furaha sana kwa kupata mama anayekupenda lakini akiamua kukumaliza amini usiamini ndoto zako zitakuwa zimeishia hapo |
0 maoni:
Post a Comment