Tukiwa tunaelekea katika kujiunga na mfumo wa Digital katika utangazaji vituo vya habari vinapaswa kufanya tasmini tangu mfumo wa Analogy umesaidia nini kwa jamii kwa kuwa vyombo vya habari ndiyo kioo cha jamiii pamoja na kutoa elimu sehemu tofauti tofauti je tumejipangaje |
RADIO STUDIO TUJIPANGE
Posted by
RAMADHANI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 maoni:
Post a Comment