WELCOME TO THE REPUTABLE BLOG IN TOWN WITH FANTASTIC NEWS,GOSSIP,TALENTS,FASHION,MOVIE STAY ON THIS WEBSITE
RSS

Meli ya Ufaransa yanusurika utekaji

Meli ya mafuta ya Ufaransa imenusurika kutekwa na maharamia wanaoshukiwa kuwa wa Kisomali katika ufuo wa Tanzania hapo jana.
Taarifa iliyotolewa na muungano wa Ulaya na ubalozi wa Uingereza kwa waandishi wa habari nchini humo imethibitisha tukio hilo na kudokeza kuwa meli ya maharamia hao imekimbilia kisiwani Pemba baada ya kuzidiwa nguvu na wanamaji wa muungano wa Ulaya.
Kwa mjibu wa mwandishi wa BBC mjini Dar es Salaam, John Ngahyoma hili ni jaribio la tatu ambalo limetekelezwa na maharamia katika eneo

  • Digg
  • Del.icio.us
  • StumbleUpon
  • Reddit
  • RSS

0 maoni: