CHADEMA YAONDOKA NA USHINDI MZITO,LICHA YA MATOKEO KUCHELEWESHWA.!
People's power, hiyo ndio slogan ya Chadema kwa wakeleketwa wake, kama unavyomuona pichani ni mbunge mpya wa Arumeru mashariki kwa tiketi ya CDM ndugu Joshua Nassari ambaye alimbwaga mpinzani wake mkubwa wa CCM ndugu Sioi Sumari kwa tofauti ya kura nyingi sana. Licha ya ushindi huo, tume ya uchaguzi ilikuwa ikichelewesha utangazwaji wa maokeo hayo kitendo kilichosababisha hata baadhi
ya sehemu kuwa na vurugu kwa baadhi ya wanachama wa vyama hivyo wakidai kupewa matokeo mapema,matokeo ya kila kituo ni kama ifuatavyo hapo chiniNO VITUO CDM CCM
1 Chama 192 60
2 Elimu 101 46
3 Embaseni A 104 52
4 Enguseni A 114 62
5 Kata ya Akeri A 192 90
6 Kata ya Akeri B 196 56
7 Kijiji cha Nguruma 94 68
8 Kikatiti 104 62
9 Kikuleto Ofisini 104 84
10 Kikwea A 142 104
11 Kikwea B 109 109
12 Kimundo 1 63 181
13 Kimundo 2 61 150
14 Kisalambe 1 110 63
15 Kisalambe 2 113 56
16 Kisambare A 110 63
17 Kisambare B 53 113
18 Kisanda A 11 55
19 Kwalisamba 113 140
20 Kwandua A 60 192
21 Kwandua B 166 56
22 Leganga A 146 20
23 Leganga B 131 27
24 Magadirisho 1 116 37
25 Magadirisho 2 111 37
26 Maji ya Chai A 130 53
27 Maji ya Chai B 105 68
28 Maji ya Chai C 115 42
29 Maji ya Chai D 118 53
30 Maji ya Chai E 105 60
31 Makiba 23 95
32 Makiba Majengo 02 93 87
33 Makumira A 118 42
34 Makumira B 100 42
35 Makumira C 92 50
36 Makumira D 68 40
37 Mawenzi 88 100
38 Mbaseli 84 58
39 Mbuguni 132 72
40 Misufini A1 209 52
41 Misufini A2 195 40
42 Misufini A3 208 45
43 Mjimwema 4 126 37
44 Mjimwema A 144 51
45 Mjimwema B 141 33
46 Mjimwema C 125 35
47 Morive 128 28
48 Msitu wa Tembo A 80 76
49 Msitu wa Tembo B 98 87
50 Mwarua 146 34
51 Mwibaru 123 87
52 Ngarasero 116 51
53 Ngaresamvu 163 140
54 Nguruma 94 88
55 Nkoanrua 1 192 60
56 Nkoanrua 2 166 56
57 Nshatu 3 110 74
58 Ofisi ya Kata Majengo 75 88
59 Ofisi ya Kata Makiba 95 23
60 Ofisi ya Kijiji A 82 128
61 Ofisi ya Kijiji Mbaseni 84 58
62 Ofisi ya Kituo Ngaresanbo 163 140
63 Ofisi ya maruango A 121 72
64 Ofisi ya maruango B 120 63
65 Ofisi ya Maruango C 106 80
66 S/M Magadilisho A 116 37
67 S/M Magadilisho B 111 34
68 S/M Mazoezi 1 120 49
69 S/M Mazoezi 2 158 50
70 S/M Mazoezi 3 127 20
71 S/M Mazoezi 4 124 45
72 S/M Miembeni 1 103 96
73 S/M Migundani A 106 52
74 S/M Migundani B 183 101
75 S/M Mirirm A 105 88
76 S/M Mirirm B 101 57
77 S/M Nasura A 79 79
78 S/M Nasura B 91 74
79 S/M Shiston A 59 100
80 S/M Shiston B 55 88
81 S/M Shiston C 44 79
82 S/M Sinai A 30 94
83 S/M Sinai B 96 188
84 shule msingi Misufini 132 72
85 Shule ya Msingi Ambureni 194 47
86 Shule ya Msingi leganga 142 26
87 Sing’isi 1 209 52
88 Sing’isi 2 195 40
89 Sing’isi 3 208 45
90 Tengeru Chuoni 114 24
91 Tengeru Hospitali 220 40
92 Urafiki 56 28
93 Usa River A 142 26
94 USA River Shule ya Msingi 111 37
95 USA River Sokoni 1 103 29
96 USA River Sokoni 2 88 41
97 Ushirika 2 166 59
TOTAL 11,485 6,468
0 maoni:
Post a Comment