WELCOME TO THE REPUTABLE BLOG IN TOWN WITH FANTASTIC NEWS,GOSSIP,TALENTS,FASHION,MOVIE STAY ON THIS WEBSITE
RSS

Mkewe rais wa Syria kuwekewa vikwazo

Asma al - Assad
Mawaziri wa mashauri ya nchi za kigeni wa Muungano wa ulaya (EU) wanatarajiwa kuidhinisha vikwazo vipya dhidi ya Serikali ya Rais Bashar al Asaad wa Syria.
EU imepanga kuwapiga marufuku ya kusafiri katika nchi za Muungano wa ulaya wanwake wa nne wa familia ya karibu ya rais Assad akiwemi mke wake Asma na mawaziri wa nane wa Serikali.
Vikwazo hivyo vipya vikiweo kuzuia mali yao vinatarajiwa kuathiri watu kumi na mbili walio na uhusianao wa karibu na rais Asaad.
Hata hivyio Asma ahwezi kuzuiiwa kuingia Uingereza kwa sababu ni raia wa nchi hiyo kulingana na maafisa wa uhamiaji nchini humo.
Hatua nyingine ni pamoja na kuzuia mali zao zilizoko katika nchi hizo.
 
 

  • Digg
  • Del.icio.us
  • StumbleUpon
  • Reddit
  • RSS

0 maoni: